BALOZI YAKUBU ATETA NA VIONGOZI WAPYA WA TANZANIA DIASPORA NCHINI FRANCE
Paris France Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Saidi Othman Yakubu, amezungumza na viongozi wapya wa Chama cha Watanzania Waishio Ufaransa (Diaspora Tanzania France) kujadili nafasi…


































































































